Thursday, December 22, 2011

Udugu Kufaana sio kufanana!

.......JAMANI HALI IMEKUWA MBAYA....ZAMANI NILIKUWA NIKISIKIA MVUA HUWA NAVUTA SHUKA NA KUJIFUNIKA NASEMA USINGIZI MTAMUU LAKINI LEO HII HAKULALIKI HAKUKALIKI ...NASIKIA MVUA NATAFUTA SIMU NA KUANZA KUANGALIA NDUGU NA JAMAA KAMA WAMESALIMIKA


WADAU PLZ HII NI ADHA KUBWA JIJINI DAR TUNAHITAJIKA KUSAIDIA WENZETU WALIOATHIRIKA.....KUNA VITUO VIMETENGWA RASMI AMBAKO WAATHIRIKA WAKO HUKO WATU ZAIDI YA KUPOTEZA NDUGU WAMEPOTEZA NA MALI PIA, HAWANA MAKAZI,MALAZI WALA CHAKULA


UNAOMBWA WEWE USAIDIE CHOCHOTE ULICHONACHO KUANZIA CHAKULA ,MAVAZI, MADAWA NA PESA KAMA UJUAVYO PANAPOTOKEA MAJANGA NA WANAPOKUSANYIKA WATU


VITUO NI SHULE/ SEKONDARI YA
AZANIA
MSIMBAZI
MCHIKICHINI
KIBASILA
MZAMBARAUNI
UHURU MCHANGANYIKO
RUTIHINDA
HANANASIFU
MAGOMENI



NAJUA NJIA HAZIPITIKI NADHANI BODA BODA(PIKI PIKI) ZITUMIKE KUKUSANYA HIYO MISAADA NA MWENYE KUWEZA ANAWEZA PITISHA MSAADA 8020 FASHIONS DUKANI,SINZA KWA REMMY
WASILIANA FLAVIANA MATATA TWITTER,8020 FASHIONS TWITTER ,DARFLOODS TWITTER TUONE NINI KINAWEZA FANYIKA






SOON VODACOM WANATUPA NAMBA YA RED ALERT MUWEZE KUTUMA PESA KUPITIA MPESA

NOTE: Kutokana na maneno hayo juu toka kwa www.8020fashions.blogspot.com naungana nao katika changamoto hii, kama wana jumuiya ya Tumaini University, Dar es Salaam College ( TUDARCO)
tushirikiane kusaidia wenzetu waliokumbwa na maafa hayaa! hali ni mbaya kama mnavyoona na kusikia! Nini kifanyike kuokoa jahazi hilii linalozama!

No comments:

Post a Comment